Month: October 2021

Teknolojia ya Blockchain na Sarafu Zinazoshirikisha Jamii katika Misaada ya Kibinadamu Nchini Kenya

Na Rosemary Okello-Orlale (Kitivo cha Biashara cha Chuo Kikuu cha Strathmore) na Steve Kenei (Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya), tarehe 2 Juni 2021. [The original English blog post is available here] Majanga na hali ya mizozo mara nyingi huambatana na matukio ya kuhama kwa watu wengi barani Afrika. Mataifa ya Kusini mwa Jangwa la …

Teknolojia ya Blockchain na Sarafu Zinazoshirikisha Jamii katika Misaada ya Kibinadamu Nchini Kenya Read More »

Mashirika ya Kiuchumi Yasiyo Rasmi na Ugeuzo Data katika Afrika Mashariki

Na Daivi Rodima-Taylor na Michael Kimani, Novemba 2020. [The original English blog post is available here] Vyama vya kusaidiana na vikundi vya kuweka akiba vimekuwa na nafasi muhimu katika jamii nyingi za Kiafrika.  Huku simu za mkononi na pesa kwa njia ya simu zikiendelea kuwa sehemu muhimu  katika maisha ya kila siku ya watu wengi Afrika …

Mashirika ya Kiuchumi Yasiyo Rasmi na Ugeuzo Data katika Afrika Mashariki Read More »