Mashirika ya Kiuchumi Yasiyo Rasmi na Ugeuzo Data katika Afrika Mashariki

Na Daivi Rodima-Taylor na Michael Kimani, Novemba 2020. [The original English blog post is available here] Vyama vya kusaidiana na vikundi vya kuweka akiba vimekuwa na nafasi muhimu katika jamii nyingi za Kiafrika.  Huku simu za mkononi na pesa kwa njia ya simu zikiendelea kuwa sehemu muhimu  katika maisha ya kila siku ya watu wengi Afrika …

Mashirika ya Kiuchumi Yasiyo Rasmi na Ugeuzo Data katika Afrika Mashariki Read More »